Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,271
- 96,306
Kaka niko nairudia zero zero zero, nayo ni style ya cartel, ulisha itazama?Haha Medellin Cartel mkuu
Hizo Italian families ulizozitaja wote ni Wateja wetu
Kaka niko nairudia zero zero zero, nayo ni style ya cartel, ulisha itazama?Haha Medellin Cartel mkuu
Hizo Italian families ulizozitaja wote ni Wateja wetu
Hiyo bado mkuu za Cartel nilizocheki ni Narcos,Godfather of Harlem, El chapo hii niliishia kati sikuikubali, saivi nipo na The SopranosKaka niko nairudia zero zero zero, nayo ni style ya cartel, ulisha itazama?
the sopranos kali sana, yule Jamaa na ukoo wake Wana chekesha.Hiyo bado mkuu za Cartel nilizocheki ni Narcos,Godfather of Harlem, El chapo hii niliishia kati sikuikubali, saivi nipo na The Sopranos
Zero zero zero ntaiadd kwenye wishlist ni kali eeh?
Ndo kwanza nipo Season 1 mkuu naangalia kivivu sana movies siku hizi😀the sopranos kali sana, yule Jamaa na ukoo wake Wana chekesha.
pale kwenye sushi ume fika😂😁
same here, mambo mngi kidogo. Ila niki amua kuki washa full mziki.Ndo kwanza nipo Season 1 mkuu naangalia kivivu sana movies siku hizi😀
😀
Yeah movies helps killing free timesame here, mambo mngi kidogo. Ila niki amua kuki washa full mziki.
I Got no free time, hapa nisha panga ratiba ya kesho.Yeah movies helps killing free time
Mmmh...Nlijua shida ipo wapi 🤣🤣🤣. That was slang. American English.not RP or British. Hata Jamaican or Patois pia hutumia two negation.
So fi yu talk bout slan' dat aint nuh problem. Mi can speak Jamaican,slang/american english and RP. Yu jus com anyhow yu want gwan get mi
Ratiba muhimu mkuuI Got no free time, hapa nisha panga ratiba ya kesho.
Bila shakaUkipata nyingine ilete tena mkuu