Nani anastahili seat na kwa nini?

Nani anastahili seat na kwa nini?

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
743
Kat yao siti ni moja na wao wapo wa4 kila mmoja anaitaka na anaona ni haki ake, utampisha nan na kwa sababu gani?

Picha chini yahusika
7026c49c9c6575db4baa93e48dc79a77.jpg
 
D mgonjwa

Huyo mwenyemtoto pia ana mimba lakini si kigezo cha siti kwa muktadha huo labda mgonjwa asingwkuwepo.

Bi kizee ashakula chumvi nyingi it's okay hata akifa kwa ugonjwa wa kusimama.

Maskini E hana nafasi kabisaa akaendelee kuomba omba.
 
Siti ni ya huyo mgonjwa

Huyo mama hawezi pata,unakubalije kupewa mimba na mtu hana gari?

Hao wazee wawili wakafie mbele kwa umri wao walitakiwa kuwa na magari.

Huyo mgonjwa ni kijana so tuassume ndio kalipia gari lake liko njiani kuja na meli.

 
Hapo D ndio ana stahili kupata seat kwani miguu yake imevunjika
 
Kwanini wasisubili gari nyingine, wasimame tu nayo nimazoezi ya mwili
 
Kuna baba mmoja Jana kaona nimemlipia dogo siti wote tunaumwa amna kubebana kaanza tokwa povu or unamfundisha nn mtoto atakama umelipia nikamwambia mzee dogo anaumwa afu we umepanda apa tu saiv kuna raia nimetoka nao mwanzo wa gari wamesimama na wamemuona dogo we ujiulizi kwann awajatokwa povu
Asinge kaa dogomtu mwingine sngekaa usingepata siti

Ohhh sheria ya wapi mtoto akae mie. Mzee nisimame nikamwambia sheria wewe umri unakuruhusu uwe na usafiri wako kama utaki kusimama
 
Back
Top Bottom