Ww si ufunguke jishushe tunaweza kukukopesha hela ili uwatibie
Sioni kama kuna mtu anatakiwa awe wa kwanza na mwingine awe wa mwisho. Fanya mipango huyo wa kijijini apelekwe hospital na huyu mpeleke hospital.
Hiyo hela uliyonayo fanya iwe ya vipimo kwa wote. Baada ya hapo wakishatibiwa Mungu atakufungulia milango.
Ukibagua kama likitokea la kutokea unalo brother. Make a wise decision, mambo mengine Mungu huleta ili aone unamtegemea kiasi gani. Pole sana