Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 42
nakubaliana na wewe ktk comment yako ni kweli Raisi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ni Raisi wetu sote kwa wale wote walio mchagua na wale ambao hawakumchagua, sasa nina wasiwasi na mtoa mada kama ana uwelewa mzuri au ndo yupo kwenye mkakati wa kutugawa watanzania, kimsingi ni vyema hii generation ya vijana tukafikiri ni namna gani tunaweza kuweka misingi bora katika taifa rather than starting threads zenye kila hila ya kumwaga sumu, my take, tumeifanyia nini tanzania ili tuianze kuidai itufanyie nini?Anaongoza wote pamoja na wewe sasa jiulize uko kwenye type gani kati ya hizo ulizotaja,utapata jibu.
Woow!nakubaliana na wewe ktk comment yako ni kweli Raisi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ni Raisi wetu sote kwa wale wote walio mchagua na wale ambao hawakumchagua, sasa nina wasiwasi na mtoa mada kama ana uwelewa mzuri au ndo yupo kwenye mkakati wa kutugawa watanzania, kimsingi ni vyema hii generation ya vijana tukafikiri ni namna gani tunaweza kuweka misingi bora katika taifa rather than starting threads zenye kila hila ya kumwaga sumu, my take, tumeifanyia nini tanzania ili tuianze kuidai itufanyie nini?
Mhhh!Anaongoza wote pamoja na wewe sasa jiulize uko kwenye type gani kati ya hizo ulizotaja,utapata jibu.
Mhhh!
Sijui kama umeelewa topic?
Great Thinker nisaidieni kujuaaaaaa!
Nisaidie kumjua!Inawezekana hujui Rais ni kiongozi gani, sema tukusaidie.
Au la una lako jambo ambalo unatafuta watu wa kulisema.
Great Thinker haogopi kuwa muwazi, fafanua ueleweke usifiche mengine nyuma ya pazia
Agghhhhrrrr!anaongoza vilaza wote including u and me
Taifa gani Linamo?Ndevumbili umeandika lugha gani? mana mi naelewa lugha ya taifa.