Nani anaongoza nchi?

Tatizo letu wa Africa hatujazoea delegation of power au chain of command tumezoea kila kitu Rais akiaddress

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Nami naongeza swali ,hivi Kama Samia anakandamiza wananchi ni kwa faida gani hasa???

N a Kama sivyo nini anakiamini ktk utawala wake???
 
Yeye mwenyewe amejichafua tayari maana haeleweki, hasimamii hata anachokiamini yeye kama yeye.
Unajua mwangwi, haaaa! Hili ni tatizo kama saayansi ya mwangwi huijui. Kila ukigeuka, ukisema, ukinong'ona mbaya zaidi ukipaza sauti! Imepasa kuishinda bila hivyo tutayumba.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi watu si hawataki Rais aingilie mifumo mingine. Yaani Rais aache mifumo ifanye kazi. Sasa wanalia nini? .

Kilio chenu mtakipata kwa Samia, Mzanzibar hataki kujichosha.
 
Wanamchafua Halafu Rais anafurahia kazi zao😎

Au unataka kutuambia Rais hajui lolote wala hana maamuzi🙄

Hebu Jiongezage buana
They want to hear what they desire.....Wanatamani wasikie nchi haina kiongozi; wamesahau maneno yale ya uthabiti.."Aliyesimama mbele yenu ni Rais wa JMT"...Ushirika wa wachawi haudumu, soon they will start fighting amongst themselves...Walichokitegemea hakitokei kama walivyotamani!
 
Hivi watu si hawataki Rais aingilie mifumo mingine. Yaani Rais aache mifumo ifanye kazi. Sasa wanalia nini? .

Kilio chenu mtakipata kwa Samia, Mzanzibar hataki kujichosha.
Shangaa mwenyewe, Rais ameacha kila mwenye nafasi apate nafasi ya kufanya bila kuingiliwa then mara imeshakuwa tatizo...Kuna watu wana self denial...Hawakutegemea things will turn out against their favour....Matatizo ya kuwa obsessed na madaraka
 
Mbatia Mwongo anaisafisha serikali yake ya ccm kuwa haihusiki na kile kinachofanywa na Polisi
 
Shangaa mwenyewe, Rais ameacha kila mwenye nafasi apate nafasi ya kufanya bila kuingiliwa then mara imeshakuwa tatizo...Kuna watu wana self denial...Hawakutegemea things will turn out against their favour....Matatizo ya kuwa obsessed na madaraka
sukuma gang et al naona kama unachanganyikiwa hata unanvyoandika havieleweki.
 
Watu vilaza kama wewe hata mkiambiwa mara ngapi hamuwezi kuelewa chochote zaidi ya kuimba ..."katiba iliyopo haina tatizo lolote" kwa vile inawahakikishia CCM kubaki madarakani milele kwa kutumia mabavu!

Kilichobaki sasa ni kuwafurumusha vilaza wote kama wewe na wenzako huko CCM.
Hamponi safari hii!
 
Kuna matatizo ya Corona. Uganda shule zimefungwa miaka mitatu,watoto wanakaa nyumbani mpaka leo.
Kenya shule zilifungwa wasichana elfu tano wakapata mimba. Sasa tunabishana nini?
 
Kuna matatizo ya Corona. Uganda shule zimefungwa miaka mitatu,watoto wanakaa nyumbani mpaka leo.
Kenya shule zilifungwa wasichana elfu tano wakapata mimba. Sasa tunabishana nini?

Kumbe Corona ina miaka 3 tangu ianze?Labda kwa calendar ya huko Chato.
 
Huyo now ni MC tu Nchi inaongozwa na wasiojulikana now jiwez regimen imetamalaki

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Wapumbaf bado mko wengi sana! zaidi ya Miaka 60 ya Uhuru bado mnaongea ujinga wa maji

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Kuna akili za wana wa uji na wavaa napi. Akitamka tuu Katba si kipaumbele, maana yake utawala wake na maafisa wote wajue suala linalo husu katiba yeye hataki .
Hayo tosha kuwa maelekezo.

Wanaume wako kazini wanatekeleza amri ya Mama Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…