Nani anaongoza nchi?

Huyu Mh. Rais amepinduliwa na vikosi vya Tanganyika. 2025 siyo mbali, atawekwa pembeni.

Mama aanze kupambana kwa kuwaondoa waasi wote mapema. Asiposhtuka watamlazimisha ajiuzulu urais waweke mtu wao.
 
Hakuna sheria ya hivyo nchi hii.

Tuletee kifungu cha sheria kinachoweka takwa kama hilo.
 
Wewe usiwasemee wengine kuhusu katiba mpya,kama huhitaji ni wewe.
Pia fahamu kuwa mambo yote ya msingi huanzia kwa wasomi na watu wachache wakaao mijini.
Hao ndiyo wanaojua dhurma inayofanywa na viongozi.

Mfano mdogo tu,nenda kijijini kwenu kamuulize kuhudu tozo,ushuru,kamuulize neno mrahaba lina maana gani?
Muulize habari ya kero za muungano.

Acha upuuzi wako,hata Uhuru ulidaiwa na wasomi na watu wachache was Dar.

KATIBA MPYA NI TAKWA MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA NCHI NA WATOTO WETU

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Jinga kabisa wee,katiba ni chuki,fala weww
 
Amiri Jeshi Mkuu Mwigulu Nchemba
 
Hili swali huwa najiuliza sana kiukweli-Na pia haijawahi kutokea JF watu wakawa na consensus kubwa kwenye hii topic kama wakati huu.It's very sad.
 
Mbatia akasema akawapigia simu IGP na Simbachawene kuwauliza kuhusu nani kaagiza, wakamwambia kuwa hilo sio sawa na polisi wamekosea na hayo maagizo hayakutoka kwao.
Maagizo yametoka kwa bibi
 
mnamkosoa mwanamke mwenzenu?
 
Rais ni Nani nchini TANZANIA ni swali zuri sana. maana awamu ya tano Rais alikuwa Magufuli akisema unajua kasema sasa hivi sioni hii hali
yule alikuwa akitembelea maofisini au mahali basi akiwaacha salama, nahisi wafanyakazi wa eneo hilo,

walikuwa wanaingia chooni kujikagua kama wamepakaza mavi kwenye sketi/gauni au suruali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…