Ashasembeko
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 226
- 914
Kama huyu kalalamika kuna jambo.kupelekeshwa, atambue kuwa yeye ni Rais na mamlaka yote ni yake. Kama alivyosema Zitto kwenye mahojiano na Star TV juzi, "hakuna Rais nusu".
Rais anapwaya vibaya siku hizi sijui tutafikaje 2025!Hili ni swali kila mtanzania inabidi ajiulize.
Unakuwa na Rais anasema polisi waache kuonea watu, hapo hapo anasema ameruhusu mikutano ya ndani ila haya maagizo yake yanakaidiwa na watu ambao inabidi wamtii kama Amri Jeshi Mkuu.
Tunaona polisi wakiendelea kuzuia wanasiasa kufanya mikutano yao na kuwakamata hovyo hata wakiwa makanisani.
Leo Mbatia amesema walipozuiwa kufanya mikutano yao ya ndani, aliwauliza polisi nani amewatuma, akaambiwa kuwa ni maagizo kutoka juu.
Mbatia akasema akawapigia simu IGP na Simbachawene kuwauliza kuhusu nani kaagiza, wakamwambia kuwa hilo sio sawa na polisi wamekosea na hayo maagizo hayakutoka kwao.
Sasa yanayoka wapi? Kwa Rais? Rais ambae alishasema jukwaani kuwa waruhusiwe kufanya mikutano ya ndani? Je Rais ni mnafki?
Kama Rais sio mnfafki kuna kikundi cha watu kinachokaidi maagizo yake. Ninkikundi gani hili tusichokijua. Tundu Lissu na Zitto Kabwe walishadokeza mara kadhaa kuwa kuna watu kwenye "security na political establishment" hawataki mabadiliko, ni kina nani hawa wenye nguvu zaidi ya Rais?
Mi nilisikia sehemu kuwa Samia "sio Rais" na yupo pale kwa maonyesho tu, kufanya uzinduzi, kutoa hotuba nk, ila kuna watu nyuma ndio wanafanya maamuzi. Kama ni kweli ni kina nani hawa?
Hawa "watu" naskia wameenda mbali na kumpunguzia Samia mawasiliano na watu waliomuingiza madarakani. Rais sa hizi hana uhusiano na mawasiliano wa karibu na MaRais wastaafu na baadhi ya viongozi wa upinzani waliokuwa wakimshauri katika miezi ya mwanzoni.
Samia asikubaki kupelekeshwa, atambue kuwa yeye ni Rais na mamlaka yote ni yake. Kama alivyosema Zitto kwenye mahojiano na Star TV juzi, "hakuna Rais nusu".
Akilitambua hili, ataanza fanya maamuzi anayoyaamini yy sio yale wengine qanaotaka ayafanye. At the end of the day sisi wananchi tunajua ni YEYE ndio anasimamia ukandamizwaji huu sio watu hao nyuma. She needs fo protect her image. Kama anaona yamemshinda ajiuzulu.
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Yeye mwenyewe amejichafua tayari maana haeleweki, hasimamii hata anachokiamini yeye kama yeye.
Hatariii....Na bado miaka 9 hadi 2030. Mtanyooka tu.
Hili ni swali kila mtanzania inabidi ajiulize.
Unakuwa na Rais anasema polisi waache kuonea watu, hapo hapo anasema ameruhusu mikutano ya ndani ila haya maagizo yake yanakaidiwa na watu ambao inabidi wamtii kama Amri Jeshi Mkuu.
Tunaona polisi wakiendelea kuzuia wanasiasa kufanya mikutano yao na kuwakamata hovyo hata wakiwa makanisani.
Leo Mbatia amesema walipozuiwa kufanya mikutano yao ya ndani, aliwauliza polisi nani amewatuma, akaambiwa kuwa ni maagizo kutoka juu.
Mbatia akasema akawapigia simu IGP na Simbachawene kuwauliza kuhusu nani kaagiza, wakamwambia kuwa hilo sio sawa na polisi wamekosea na hayo maagizo hayakutoka kwao.
Sasa yanayoka wapi? Kwa Rais? Rais ambae alishasema jukwaani kuwa waruhusiwe kufanya mikutano ya ndani? Je Rais ni mnafki?
Kama Rais sio mnfafki kuna kikundi cha watu kinachokaidi maagizo yake. Ninkikundi gani hili tusichokijua. Tundu Lissu na Zitto Kabwe walishadokeza mara kadhaa kuwa kuna watu kwenye "security na political establishment" hawataki mabadiliko, ni kina nani hawa wenye nguvu zaidi ya Rais?
Mi nilisikia sehemu kuwa Samia "sio Rais" na yupo pale kwa maonyesho tu, kufanya uzinduzi, kutoa hotuba nk, ila kuna watu nyuma ndio wanafanya maamuzi. Kama ni kweli ni kina nani hawa?
Hawa "watu" naskia wameenda mbali na kumpunguzia Samia mawasiliano na watu waliomuingiza madarakani. Rais sa hizi hana uhusiano na mawasiliano wa karibu na MaRais wastaafu na baadhi ya viongozi wa upinzani waliokuwa wakimshauri katika miezi ya mwanzoni.
Samia asikubaki kupelekeshwa, atambue kuwa yeye ni Rais na mamlaka yote ni yake. Kama alivyosema Zitto kwenye mahojiano na Star TV juzi, "hakuna Rais nusu".
Akilitambua hili, ataanza fanya maamuzi anayoyaamini yy sio yale wengine qanaotaka ayafanye. At the end of the day sisi wananchi tunajua ni YEYE ndio anasimamia ukandamizwaji huu sio watu hao nyuma. She needs fo protect her image. Kama anaona yamemshinda ajiuzulu.
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Mikutano ya ndani haihitaji kibali kutoka kwa yeyote.Mwandishi kasoma sheria ya vyama vingi na sheria ya polisi na wasaidizi wake kuhusu mikusanyiko inayolenga minajili ya kisiasa kwamba lazima wapate kibali wakieleza kikao chao kinalenga nini lakini kilichopo vikao vyao hao jamaa ni kusambaza chuki dhidi ya wananchi na serikali yao kuhusu madai ya katiba mpya kitu ambacho hakina haraka yoyote wala umuhimu wowote kwa sasa hakuna kikao ambacho hao jamaa kinacholenga maendeleo ya mwananchi kama barabara, huduma za maji,huduma za afya zaidi ya kujadili mambo yao binafsi ya siasa za upinzani kiukweli mkulima, machinga, mfanyakazi na wananchi kiujumla katiba iliyopo haina tatizo lolote kwao lakini hao jamaa wana mambo yao binafsi.
Gwajimasebene unamuonea, mtoe kwenye orodha
Ina maana siku hizi haupigi mwingi?Rais anapwaya vibaya siku hizi sijui tutafikaje 2025!
Ukishapata vinywaji vikali pumzika akili itulie. Akili haiwezi kufikiri vizuri ukilewa sana.Mwandishi kasoma sheria ya vyama vingi na sheria ya polisi na wasaidizi wake kuhusu mikusanyiko inayolenga minajili ya kisiasa kwamba lazima wapate kibali wakieleza kikao chao kinalenga nini lakini kilichopo vikao vyao hao jamaa ni kusambaza chuki dhidi ya wananchi na serikali yao kuhusu madai ya katiba mpya kitu ambacho hakina haraka yoyote wala umuhimu wowote kwa sasa hakuna kikao ambacho hao jamaa kinacholenga maendeleo ya mwananchi kama barabara, huduma za maji,huduma za afya zaidi ya kujadili mambo yao binafsi ya siasa za upinzani kiukweli mkulima, machinga, mfanyakazi na wananchi kiujumla katiba iliyopo haina tatizo lolote kwao lakini hao jamaa wana mambo yao binafsi.
Hahaha yani unapangia chama cha siasa mambo yakuzungumza kwene kikao, ww ndio unaona katiba haina haraka au umuhimu ila wao Kama chama cha siasa na wa Tanzania wao wanaona lina umuhimu na haraka,upinzani nao Ni wananchi wa Tz,swala la katiba vyama vya siasa vilitakiwa vikutane wajadili maana kumbuka hivi vyama vina wanachama ambao ni wa Tanzania Kama walivo wa ccm...hivo si kana kwamba wanachama wa ccm wakiona Jambo la nchi halina uharaka basi wananchi wote waone hivo....Mwandishi kasoma sheria ya vyama vingi na sheria ya polisi na wasaidizi wake kuhusu mikusanyiko inayolenga minajili ya kisiasa kwamba lazima wapate kibali wakieleza kikao chao kinalenga nini lakini kilichopo vikao vyao hao jamaa ni kusambaza chuki dhidi ya wananchi na serikali yao kuhusu madai ya katiba mpya kitu ambacho hakina haraka yoyote wala umuhimu wowote kwa sasa hakuna kikao ambacho hao jamaa kinacholenga maendeleo ya mwananchi kama barabara, huduma za maji,huduma za afya zaidi ya kujadili mambo yao binafsi ya siasa za upinzani kiukweli mkulima, machinga, mfanyakazi na wananchi kiujumla katiba iliyopo haina tatizo lolote kwao lakini hao jamaa wana mambo yao binafsi.