Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Kati ya wanasiasa na vyama vya siasa ambavyo nimeshindwa kabisa kuwaelewa/kuvielewa ni Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Doyo Hasan Doyo na Chama chake cha ADC.
Huyu Bw kupitia Chama chake cha ADC haijulikani sera zao ni nini, itikadi yao ni ipi na hata lengo lao pia haijulikani.
Katibu Mkuu huyu, muda mwingi huutumia katika kuwatukana Chadema, NCCR na CUF wanaomuunga mkono Maalim Seif.
Nashindwa kuelewa, huyu Doyo Hasan Doyo ni Mwenezi wa CCM au? Maana anafanya kazi kubwa ya CCM kuliko anavyokieneza Chama chake cha ADC.