Murukulazo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 574
- 221
alikuwa anavaa njuga mguuni na alaikuwa anauza Karanga huku akiimba hasa mambo ya siasa, kweli ilikuwa kiboko ya watoto vikojozi, watu wazima walikuwa wanasema eti alikuwa mpelelezi,
Huyo mzee Majambo wako.........alikuwepo Tanzania nzima akiuza karanga.........?.........
Huyo mzee Majambo utadhani kila mtu anamjua kana kwamba alikuwa akifika Arusha na Bukoba.
View attachment 258961
Mimi namkumbuka BUBU muuza karanga maarufu Mji wa Bukoba na viunga vyake vyote.Alikuwa aki-supply ofisi zote za umma na binafsi na alipendwa sana. Wale wa umri wangu waliokulia hakuna asiyemfahamu.
Mungu ampumzishe kwa Aman.
Preta hii sio yenu wa mikoani au wakuja.....hii yetu watoto wa dar tuliozaliwa uswazi! majambo noma,nilikuwa nikimsikia anakuja lazima nikajifiche uvungu wa kitanda!Huyo mzee Majambo wako.........alikuwepo Tanzania nzima akiuza karanga.........?.........
Hahaha kwa wale waliyokulia magetini, obay, masaki, mikocheni hawajui khsu mzee hyu ila kwa sisi tuliyokulia uswazi kinondoni shamba tunampata vilivyopita hehehePreta hii sio yenu wa mikoani au wakuja.....hii yetu watoto wa dar tuliozaliwa uswazi! majambo noma,nilikuwa nikimsikia anakuja lazima nikajifiche uvungu wa kitanda!