Nani anamiliki magari ya UDA?

Nani anamiliki magari ya UDA?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
kuna tetesi kwamba haya mabasi ya UDA ni miradi ya vigogo wa serikali ndo maana hakuna mabasi mengine yanayo ruhusiwa kuingia posta zaidi ya haya mabasi. karibuni wakuu.
 
Na ukishajua kuna hatua yoyote utakayo chukua?
 
Hiki bado ni kitendawili na hata hili Bunge butu limeshindwa kukitegua. Waliwahi kuigusa issue hii juu juu tu lakini hadi hii leo mwenye mali bado ni kitendawili na kuacha rumours kuhusu hili ziendelee kuzagaa nchini.

kuna tetesi kwamba haya mabasi ya UDA ni miradi ya vigogo wa serikali ndo maana hakuna mabasi mengine yanayo ruhusiwa kuingia posta zaidi ya haya mabasi. karibuni wakuu.
 
Hiki bado ni kitendawili na hata hili Bunge butu limeshindwa kukitegua. Waliwahi kuigusa issue hii juu juu tu lakini hadi hii leo mwenye mali bado ni kitendawili na kuacha rumours kuhusu hili ziendelee kuzagaa nchini.

Mkuu mwenyewe anaitwa Robert Kisena.
 
Wala sio povu mi mtu mdogo sana ispokuwa sisi wa bongo hata tukijua hamna hatua yoyote tukayochukua zaidi kusema humu tuu na baada ya hapo sled itafungwa kwa kifupi ni kujifurahisha tu
 
Lakini mkuu jf inasaidia kupaza sauti ivyo itasaidia kudhibiti huu ufisadi
 
Hayo ma uda yasiwatie shida. Mabasi mengi yameanza kufa na yaliyopo yamechoka mbaya. Hayawezi kudumu muda mrefu.
 
Pamoja na hayo hiyo si sababu muafaka ya kumilikishwa kifisadi. Kama kuna ufisadi ulifanyika kukwapua UDA basi wahusika wawajibishwe, lakini nchi yetu ilivyokithiri kwa rushwa na ufisadi hili nalo ni upepo tu litapita kama lilivyopita la wizi wa mabilioni ya Escrow na kugawiwa ndani ya Ikulu.

Ndo maana nikasema hata tukijua tutachukua hatua?
 
Back
Top Bottom