Nani anamfunika huyu?

Mtoto anajulikana kwa jina la Agness Masogange, humu CC nani anamfunika huyu kwa figa yenye mvuto mithili ya namba 8?
​

Mai waifu marejesho njoo uje unitoe humu, kuna mtu ananiweka majaribuni!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni matatizo, sijui akiwa demu wako utakuwa na wivu kwa kiasi gani maana duuh Majangaaaaa.
 
Mtoto anajulikana kwa jina la Agness Masogange, humu CC nani anamfunika huyu kwa figa yenye mvuto mithili ya namba 8?
​

Mtoto laini huyu jamani kama anachambia hamila
 
Ndio maana nikaweka mipango thabiti ya muda mrefu na utekelezaji uliotukuka kati yangu mimi na wewe! Hizo kelele za Arushaone, Kaizer, KOKUTONA na wengineo ni upepo tu, utapita!!!!

Actions speak than words Filipo, toka mpango wako wa mda mrefu uutangaze hatuoni utekelezaji mbona?
 
Last edited by a moderator:
Nakushangaa hivi ulishawahi kumuoa kongosho wewe?

Kongosho ni dume, sasa sijui kama ametumia mchina ili kuyakuza masabuli yake.
 
Kila siku umeng'ang'ana maharage, unadhani utaona.

Semegi maharage yanatafuta nini hapa?
Hivi maharage ni uwingi si ndiyo?
Likiwa moja kubwa harage si ndiyo?
Likiwa moja dogodogo Tuiteje?
 
ahahahahhh, kongosha bana, aliniambia yeye ni she lol! Humu jf kulishwa matango pori ni kawaida sana

Kongosho ni dume, sasa sijui kama ametumia mchina ili kuyakuza masabuli yake.
 
ahahahahhh, kongosha bana, aliniambia yeye ni she lol! Humu jf kulishwa matango pori ni kawaida sana

We acha alafu kuna watu huwa wanashobokea avatar za watu yanayo wakuta huko mmmh
 
Umeona eeh! Ukienda kule mmu ndo utajua jinsi watu wanavoathirika na hizi avatar, utasikia ooh alipofika getini akaanza kupiga cm, mara cm yangu ikaanza kuita, nilipomuona alivyo nikasepa lol!Chezea avatar weye!

Mzima lakini

Hahaha JF bana ni burudani sana
 
Boss akikukera njoo jf, wife akileta za kuleta wala usilumbane nae njoo jf straight. huku hakuna stress wala nini ila ukitaka stress kidogo nenda jukwaa la siasa lol!

Hahaha JF bana ni burudani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…