sekulu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 988
- 157
Jamani wana JF,
Ni vema tukafikiria mara Mbili Juu ya kinachodaiwa kuwa kifo Cha Osama!, Mimi Bado naamini Hajafa kutokana na Mkanganyiko wa kauli za wamarekani!,

Kitu kingine nani ana picha ya Osama Bila yale Mandevu??
Naamini ni propaganda tu za Obama na Uongozi wake kuhalalisha matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.