Makamu yupi mkuu? Maana rekodi zinasema makamu wote wa vyama viwili vikuu vya siasa nchini wamesha shambuliwa.Hao ndio waliomshambulia makamu lazima.
Mmeshindwa kuleta maendeleo mmeishia kuteka na kuua. Mmepoteza uhalali mnatakiwa kuwa jela sio Ikulu tena.Taarifa imekaa kiumbea sana
Mkurugenzi wa Idara anateuliwa na mkuu wa nchi. Ukisikia agizo kutoka juu ujue ni kutoka Chato.Kama alikua na vijana wa idara basi ni wazi anafadhiliwa na idara. Idara ina mwajiri mmoja tu, ambaye ni mkurugenzi mkuu wa idara.
Kama hana baraka zao wangesha mzima kitambo sana, hata kama angekua na baraka za mkuu wa nchi.
Kweli mkuu, nakumbuka nilipokuwa Mzumbe nikisolve DIFFERENTIAL EQUATION.., CALCULUS NA PROBABILITY II..halafu leo naongozwa na washamba na malimbukeni naumia sana!Wale waliokuwa wanakaza msuli darasani na wenye IQ kubwa wanashangaa maboga ndio yanawaongoza
Kweli mkuu, nakumbuka nilipokuwa Mzumbe nikisolve DIFFERENTIAL EQUATION.., CALCULUS NA PROBABILITY II..halafu leo naongozwa na washamba na malimbukeni naumia sana!
Bia yetu haji hapaCCM watapinga
Acha majunguSwali langu: Mwanaharakati huyu huru anatumiwa na nani? Nani anamlea? Tunalipeka wapi Taifa?
Aisee umeandika kijinga sanaWakashuka watu 6 wakachangamshwa kidogo kipolisi, wakarushwa kichura na kupelekwa pembeni. Watu hawa walikutwa na bastola 3. Wakajitambulisha wakiwa na Kiongozi wao ambaye ni ‘Mwanaharakati Huru’ akifuatana na vijana 4 kutoka idara nyeti, pamoja na dereva wao.
MusibaAcha majungu
Umeajuaje kama hao watu wanne ni kutoka idara nyeti?
Pia kumbuka serikali inaweza kufanya kazi na.mwanaharakati yoyote ikiwa tu kazi hiyo ni kwa maslahi mapana.ya nchi
Tuwekee iliyokaa kiukweli tafadhaliTaarifa imekaa kiumbea sana
hapana, ni yericko.Musiba
12/October/2021 kuna jambo lake mahakamani.Jana (Juni mosi, 2020) majira ya saa 8 Mchana, gari aina ta Prado ya rangi ya kijivu T304 DHK likiwa na watu 6 ndani yake lilizuiliwa kwenye ‘Barrier’ ya mjini Lindi karibu na Shule ya Sekondari ya Lindi baada ya Polisi kupata ripoti kuwa gari hilo lilikuwa linakwenda kasi na kukataa kusimama kwenye vizuizi vyote vya Traffic.
Gari hilo lilizuiwa na Lorry lililokuwa na askari polisi wenye silaha. Wakaambiwa washuke wakiwa na mikono juu.
Wakashuka watu 6 wakachangamshwa kidogo kipolisi, wakarushwa kichura na kupelekwa pembeni. Watu hawa walikutwa na bastola 3. Wakajitambulisha wakiwa na Kiongozi wao ambaye ni ‘Mwanaharakati Huru’ akifuatana na vijana 4 kutoka idara nyeti, pamoja na dereva wao.
Walipoulizwa walikuwa wanakwenda wapi, waliwaambia maafisa wa Polisi kuwa walikuwa wanakwenda Ruangwa kwa Waziri Mkuu. Walipoambiwa kuwa mbona hayupo, wakadai wana kazi wanakwenda kufanya.
Nzi wetu aimefuatilia nyendo zao na kubaini hata ofisi ya PM haina taarifa zao!
Swali langu: Mwanaharakati huyu huru anatumiwa na nani? Nani anamlea? Tunalipeka wapi Taifa?