Ni wanawake,ndio maana wakatengenezewa muv yao ambayo inaitwa desperate housewives....
Kuwa desperate ni dalili unategemea jamii ipange maisha yako... Yeyote anayetegemea jamii ipange maisha yake atakuwa desperate either Mwanamke au mwanaume..kwani atakuwa anaogopa jamii inayomzunguka itakuwa na mawazo mabaya juu yake kama aja oa au kuolewa.
Hivy basi kuwa desperate ni mawazo yako bila kujali wewe ni mwanaume au mwanamke!
wanaume pia wapoKuwa deperate nakubali kunaweza kuwa ni sababu ya maswali ya jamii inayokuzunguka. But hiyo ni kweli tu kama wewe ulishajiwekea kuwa huna shida ya kuolewa/kuoa. Kuna wengine ni desperate si kwa sababu ya jamii bali kwa kuwa yeye mwenyewe alishajipangia kuolewa kabla ya umri fulani lakini hakuna anaye propose. Naongelea kuolewa zaidi kwa kuwa najua kabisa mwanaume hawezi kosa mke; ni uamuzi ila kwa mwanamke waweza ukawa ni uamuzi au ni bahati mbaya.
Kuwa deperate nakubali kunaweza kuwa ni sababu ya maswali ya jamii inayokuzunguka. But hiyo ni kweli tu kama wewe ulishajiwekea kuwa huna shida ya kuolewa/kuoa. Kuna wengine ni desperate si kwa sababu ya jamii bali kwa kuwa yeye mwenyewe alishajipangia kuolewa kabla ya umri fulani lakini hakuna anaye propose. Naongelea kuolewa zaidi kwa kuwa najua kabisa mwanaume hawezi kosa mke; ni uamuzi ila kwa mwanamke waweza ukawa ni uamuzi au ni bahati mbaya.
Wapo... Mi mjomba wangu ni mfano tosha. He's like in his mid sixties na hana mke wala hawazi kuoa. And he enjoys life...
Kuna kitu huwa nafikiri lakini sipati jibu... Huwa nafikiri, bila kufuata jamii inataka nini, Je? kuolewa au kuowa ni suala la lazima? Je? unaweza kuwa na maisha mazuri na amani bila ya kuowa au kuolewa? Yaani I mean, kama unataka familia unaweza kumchukua mtoto au watoto yatima ukawafanya wako. Lakini pia, nisingependa ku-complicate issue kwa kuongelea jinsi gani utaweza kukidhi tamaa za kimwili..
Lakini in general..Je? kuna watu wanafuraha na amani bila ndoa? Na pia nisingependa kuchukua mfano wa mtu tajiri kama Oprah Winfrey.
Binadamu wa kawaida ni lazima afikirie jamii kabla ya kufanya maamuzi. Kwa hiyo kufikiri watu watasema nini si vibaya na si kitu cha kuonea aibu. That is how it should be otherwise dunia ingekuwa uwanja wa fujo.. .
Unajua mi nahisi hv vitu vinaendana sana, what we want n what the community want 4rm us. Sikatai kuwa tusifanye vile tunavyojiskia but....Nimekupata na nakubaliana na wewe..kwa asilimia nyingi tu.. <br />
<br />
Lakini je ni kiasi gani tunaweza kuepuka kujifunga kwa jamii na kupoteza uhuru wetu?.. Mfano ..kama mimi binafsi sijisikii na sitaki kuoa m-Korea au mhindi lakini ndugu, kabila na wazazi wangu kama jamii wanalazimisha iwe hivyo..nitafanye?
Nimekupata na nakubaliana na wewe..kwa asilimia nyingi tu..
Lakini je ni kiasi gani tunaweza kuepuka kujifunga kwa jamii na kupoteza uhuru wetu?.. Mfano ..kama mimi binafsi sijisikii na sitaki kuoa m-Korea au mhindi lakini ndugu, kabila na wazazi wangu kama jamii wanalazimisha iwe hivyo..nitafanye?
... unatakiwa mwenyewe utumie busara yako kubalance...
Hakuna jibu kama vile 1+1=2. Ila unatakiwa mwenyewe utumie busara yako kubalance. Ukiona ndugu wanakwambia kitu afu hicho wanachokwambia si cha hajabu katika jumuiya yenu fikiri kwanza kabla ya ku ignore. Ila kama wanachokwambia ni unusual bado una uamuzi wa kukataa. Mfano kuna wazazi ambao ni single mothers wanaoishi maisha ya kutegemea mabuzi. Mzazi kama huyo akimshauri binti yake atafute wanaume wenye pesa ili asaidie familia
Thats y u will alyz b Nyumba kubwa