Nani anakuwa desperate zaidi kati ya mwanamke au mwanaume?

kuna kazi katika hili pia
fikiri kabla ya kutenda
wwk wanakuwa desparate zaidi
mazingira yanawaathili zaidi
 
Nimekupata na nakubaliana na wewe..kwa asilimia nyingi tu.. <br />
<br />
Lakini je ni kiasi gani tunaweza kuepuka kujifunga kwa jamii na kupoteza uhuru wetu?.. Mfano ..kama mimi binafsi sijisikii na sitaki kuoa m-Korea au mhindi lakini ndugu, kabila na wazazi wangu kama jamii wanalazimisha iwe hivyo..nitafanye?
<br />
<br />
naomba nichangie hapo kidogo nymba kubwa anaposema maner n ethckx anatakiwa atambue maana kwanza,ukiwa unamadil thn jamii wl reflct the same2wards u bt kama huna then utakua unafata wht jamii tels u..thn mkuu kama unajieshm fanya chchte nautakubalka2 nawatakufuata 4hlp..
 
Back
Top Bottom