Nani anakumbuka ITV enzi zile wanapiga nyimbo hizi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,560
44,746
Kuna kipindi nilikua bado sijakuwa mkubwa nilikuwa nikitazama TV asubuhi hasa ITV ndo nilikuwa naipenda sana home unakuta nyimbo flani zinarudiwa kila siku.

Mtaji wa Maskini ya Banza Stone, Elimu ya Mjinga ya Banza Stone, Tunda Special ya Mwijuma Muumini, Kilimanjaro Band Njenje Tupendane na kachiri n.ki

Nisaidieni kutaja nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom