Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Chama cha Mapinduzi kinaelekea wapi? Chama cha Mapinduzi kimefikia hatua ya kuwachagua viongozi waliofukuzwa na Bunge kwa Ufisadi kuwa Viongozi wa Bunge hilo hilo? CCM hii inaruhusu watu waliolalamikiwa na Chama kuwa ni Viongozi "mizigo" kuwa Mawaziri? Nani anaiongoza CCM? Yupo makini kiasi gani?
Tunashuhudia CCM ya sasa inazuia wapiga kura wake na Wananchi kwa ujumla kupata habari za mwenendo wa mijadala katika Bunge lao tukufu!
Hii ndiyo CCM ya Mwalimu Nyerere? CCM hii leo inawaangalia wanachama wake kwa rangi zao.
Nauliza ni CCM ile ile iliyokuwa kimbilio la wanyonge?