Nani anaijua hii

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Huu ni mmea unapatkana baadhi ya maeneo ni mmea unaotanda juu ya mti lakn huwez kuliona shina lake. Inasemekana unakuwa na shina mbali kabisa na sehem ulipo.

Wanasema ukiliona shina lake ni moja ya bahat flan kwenye maisha yako
 
Vile vile wanasema ni dawa kwa akina mama kipind wanapojifungua endapo mimba inapoa
 
Vile vile wanasema ni dawa kwa akina mama kipind wanapojifungua endapo mimba inapoa

Naujua japo si kwa jina, ukiyachukua kipindi cha mvua ukitupia kwenye kichaka au fensi ya majani yanamea!!!

Yanatumikaje kama dawa kwa wajawazito mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…