reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Call for interview Hr huyoohabarini wapendwa.. napenda kuuliza mwenye kuifahamu namba tajwa hapo juu. nilikuta missed call nkajaribu kuipiga nkaambiwa hyo no haipo nimeshindwa kuelewa ni mtandao mbovu au laa
baada ya +255 usiweke 0,endelea na 22.i mean.+25522.........
Namba ya BOT wameita kwenye interview
habarini wapendwa.. napenda kuuliza mwenye kuifahamu namba tajwa hapo juu. nilikuta missed call nkajaribu kuipiga nkaambiwa hyo no haipo nimeshindwa kuelewa ni mtandao mbovu au laa.
namba +2550222161267

Delete 0 baada ya 255 upige ni landline
Hiyo ni number ya Staff wa NMB.
NATIONAL MICROFINANCE BANK
HEAD OFFICE - NMB HOUSE
AZIKIWE/JAMHURI STREET
P.O. BOX 9213, DAR ES SALAAM, TANZANIA
TELEPHONE: +255(0)22 2161000
Hii namba ni ya Landline, ambayo ipo mkoa wa ARUSHA.
kAMA huyo aliekupigia anakuhitaji atakupigia tena,cha muhimu kuwa na simu yako muda wote