Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
hivi wewe unafikiria kwa kutumia nini eti!!??

mmeshindwa dodoma mnataka nairobi abaki mwenyewe mkamalize??!!

sura kama watu wasiojulikana.
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Unawapangia mpaka namna ya kutumia hela binafsi? Jambo unalo!
 
Hivi unajua umbali wa Arusha na Nairobi unaweza kwenda na kurudi mara ngapi ?

Kwanini mmekosa akili hivi hadi Nairobo unaona ni ughaibuni hujui msigwa anaweza kwenda iringa na kurudi jioni kwa gari sembuse Lema wa Arusha au Mbowe
Nimecheka sana eti ughaibuni wakati kutoka arusha kwenda moshi na kutoka arusha kwenda nairobi ni sawa

Ughaibun hapajui huyu
 
Hivi unategemea mtu kama Lema aliyesaidiwa kwa hali na mali na Tundu Lissu hadi akarejeshewa ubunge wake leo ashindwe kuishi Nairobi kwa gharama zake binafsi za kula kulala na kusafiri kwenda hospitali? Wala hashindwi! Yule kule Nairobi anaishi kwa gharama zake na vilevile mchango anatoa. Msigwa yeye alikuwa miongoni mwa wabunge wawili walioondoka na mgonjwa na hawezi kurudi yeye wala Mbowe mbali na kwamba wanatumia gharama zao binafsi.

Mimi mwenyewe naelekea huko na sitashindwa kuishi kule hata kwa mwezi mzima kwa gharama zangu na michango ya matibabu naenda kutoa. Roho ndogo kama hiyo muachie Magufuli mkuu, wewe hutakiwi kuwa nayo!
Kwei Aisee umenena jema.
Tundu lisu ndo aliemnasua Lema kwenye ile kesi ya miaka ile! Nakumbuka nilikuwa Arusha maeneo ya Tengeru ambapo Lema alipo lejea arusha akitokea Dar alipokuwa ameshinda rufaa. Barabara ilizim na jiji la arusha likazizima. Tundu lisu alikuwepo kwenye msafara.

Pili Lisu huyu huyu ndie aliemhangaikia Lema kwenye kesi yake ya uchichezi na akamnadua toka mahabusu kisongo alikokaa kwa zaidi ya miezi 2
Kwa vyovyote Lema hawezi kumsahau Lisu.
Kuhusu gharama wanazotumia hapo sina shaka kwani wote wanahela. Kumbuka wote ni wabunge wakongwe kwa vipindo viwili. Hebu fikilia mshahara wa mbunge kwa mwezi mmoja ni sh. ngapi hadi washindwe kuishi nairobi. Hawa watu si masikini kama unavyofikilia Aisee!!
 
Najua si mbali lakini ni vyema hizo gharama za Mafuta, chakula na mengineyo wasiziwekeze kwenye matibabu?
Kwani umeambiwa hatibiwi?.... Nyie endeleeni kucheza ngoma mnayochezeshwa na CDM na wote mnaingia kichwa kichwa kucheza bila kuhoji wa kushtuka.... Nimeona Polisi nao wamechezeshwa ngoma Sinza nao wakaingia kichwa kichwa na meseji iliyotakiwa imefika kila mahali kuwa Polisi wanazuia maombi kwa Lisu na kwa Temeke ni Polisi wanazuia uchangiaji wa damu kwa hiyo hawawatakii mema watanzania. Endeleeni kucheza hiyo ngoma siku mtakayogundua mtasema ni heri mikutano ya siasa kuliko ngoma tunayochezeshwa na hawa jamaa... Poleni sana. Lisu atatibiwa bila shida na atarudi nyumbani salama!
 
Lema anapofanya biashara zake Nairobi ni nani anagharamia?Acha ujinga,pia haikuhusu nenda kaongee na wenzio wasiojulikana.
 
Hivi unategemea mtu kama Lema aliyesaidiwa kwa hali na mali na Tundu Lissu hadi akarejeshewa ubunge wake leo ashindwe kuishi Nairobi kwa gharama zake binafsi za kula kulala na kusafiri kwenda hospitali? Wala hashindwi! Yule kule Nairobi anaishi kwa gharama zake na vilevile mchango anatoa. Msigwa yeye alikuwa miongoni mwa wabunge wawili walioondoka na mgonjwa na hawezi kurudi yeye wala Mbowe mbali na kwamba wanatumia gharama zao binafsi.

Mimi mwenyewe naelekea huko na sitashindwa kuishi kule hata kwa mwezi mzima kwa gharama zangu na michango ya matibabu naenda kutoa. Roho ndogo kama hiyo muachie Magufuli mkuu, wewe hutakiwi kuwa nayo!
Umenena vyema mkuu
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Huo ndio mchango wao kwenda kumwona kwa hela zao
 
Hivi unategemea mtu kama Lema aliyesaidiwa kwa hali na mali na Tundu Lissu hadi akarejeshewa ubunge wake leo ashindwe kuishi Nairobi kwa gharama zake binafsi za kula kulala na kusafiri kwenda hospitali? Wala hashindwi! Yule kule Nairobi anaishi kwa gharama zake na vilevile mchango anatoa. Msigwa yeye alikuwa miongoni mwa wabunge wawili walioondoka na mgonjwa na hawezi kurudi yeye wala Mbowe mbali na kwamba wanatumia gharama zao binafsi.

Mimi mwenyewe naelekea huko na sitashindwa kuishi kule hata kwa mwezi mzima kwa gharama zangu na michango ya matibabu naenda kutoa. Roho ndogo kama hiyo muachie Magufuli mkuu, wewe hutakiwi kuwa nayo!
Asante kwa jibu zuri that dickmagnatized mind
 
Mkuu, kwa nini pesa ya bando usingechangia matibabu badala ya kuja kulalamika hapa?!
Na kama wangekuwa hapa kuna ambao wangehoji kwa nini hawamjali mgonjwa! Na watu wasingekubaliana na hiyo hoja kuwa wachange tu halafu wao wabaki kukimbizana na polisi maana hao wasingeogopa kushiriki maombi ya kumuombea Lissu.
eti Angechangia hela yake ya Bando
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Kwa mujibu wa watu wa karibu yao anayegharamia hata wao hawajui uwezo au miujiza wapo tu
 
Pesa tulizochanga watanzania kumhudumia Lissu. Inasikitisha zaidi ya wabunge watano na wenza wao kumhudumia Lissu huo ughaibuni wakati familia yake ipo.
Tambua wale siyo maskin kama wewe,hauwez ukamhudumia mgonjwa ukiwa mbali pia wanaimalisha ulinz kwa Lissu maana wabaya wake hawaamin kama kapona.
 
Najua sio masikini lakini kwanini hizo fedha wasichangie kwenye matibabu kuliko kukaa huko Nairobi bila sababu ya msingi?
Mnataka udhibiti uwe dhaifu ili mkammalizie?

Hawarudi Ng'o katika hili lililompata mwenzao watashirikiana bega kwa bega na familia yake kuhakikisha Lissu anarudi salama nchini. Watamlinda Usiku na mchana kwa gharama zozote zile kamwe jukumu hilo halitaachiwa familia yake pekee.
 
Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
Umeambiwa Roho ndogo ya kijinga,ya utawala wa SMG,Waachie Makonda+Magufuli.
Roho kama hiyo achana nayo ndugu,Roho ya shetani na Mama mkwe wake utakuja kufa bure.
 
Najua si mbali lakini ni vyema hizo gharama za Mafuta, chakula na mengineyo wasiziwekeze kwenye matibabu?
Au mna mpango wa kumdhuru,mbona unakomaa sana hao Wabunge kuwa huko?,kwa kukomaa huku siyo bure kuna jambo,sasa kwa taarifa yako hiyo nafas hamuipat tena ya kumdhuru,mpaka kieleweke,na hao unaotaka warud Tz hawarud ng'oo.
 
Back
Top Bottom