Nani anafunika wenzie?

Nani anafunika wenzie?

Blue G

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
5,339
Reaction score
3,674
Bila shaka kwa wale wapenzi wa tamthiliya wanawafahamu wadada warembo pichani hapo chini,kwa binafsi yangu nikiwasaili huwa naona wote ni warembo wa haja na kushindwa kuamua yupi anawafunika wenzie.Wana jf mmnasemaje?
1.DANNA GARCIA;Huyu aliwahi kucheza la revancha,hidden passionn na beutifil but unlucky.


634410025_small[1].jpg danna garcia1[1][1].jpg


2.MAITE PERONI;Huyu pia aliwahi kucheza dont't mess with an angel na triumph of love.

imagesCA1D8FJ4.jpg imagesCAN4H179.jpg

3.PAOLA REY;Ye pia aliwahi kucheza pamoja na Dnna Garcia katika tamthilia ya unhidden passion.

imagesCA5486S1.jpg imagesCA5QTNMF.jpg

4.KRISTINE HERMOSA;Alicheza The promise,Timeless and dahil may isang ikaw.


kristine-hermosa-02[1].jpg kristine-hermosa-03[1].jpg

5.ALEJANDRA LAZCANO;Alicheza tamthiliya ya Danniella.

Alejandra Lazcano BLOG[1].png Alejandra%20Lazcano%20-%203[1].jpg

Jamani nani anawafunika wenzie?
 
mkuu series nazifuatilia bana. Mfano 24, prison break, the unit, lost, heroes etc.
Sasa hao hawapo kwenye hizo series unazoangalia wewe,labda we si mpenzi wa love series ila unapenda action series.au siyo mkuu?
 
Mimi wazungu hata hawanipi mzuka
Hao sio wadhungu pure bwana,kwa mf watatu hapo ni mchanganyiko wa wahindi wekundu na wazungu a.k.a brazilian and mexican bloods,na Kristine ni mfilipino.Tokea lini mzungu pure akawa mzuri ivo?loo atambe?
 
Sasa hao hawapo kwenye hizo series unazoangalia wewe,labda we si mpenzi wa love series ila unapenda action series.au siyo mkuu?
Ni kweli kabisa mkuu.
Big up kwa kuwaleta na wabongo.
 
Watoto wazuri wako uswazi,natural n cute............
 
Huwezi kuwafahamu kama si mfuatiliaji wa series.

mbona mimi huwa nafwatilia sana series lakini siwafahamu hata sasa nasubiria kipindi kimya cha TOP GEAR SERIES 90 KWENYE BBC ENTERTAINMENT.
 
Back
Top Bottom