Ilichukuliwa familia moja kutoka kwenye luxury Life ya Ulaya kwenda Namibia kuishi na hawa watu wa kabila la Himba kwa muda fulani. Ilikuwa very interesting TV show. The best part ilikuwa msichana wa kihimba anamzimikia mvulana wa kizungu. Mwanzoni mi nilifikiri ni masihara, lakini kumbe alikuwa serious. Siku ile familia inavyoondoka yule msichana alilia Sana mpaka akajiangusha chini.