Kabisa mkuu umenena vemaSwala cio saport kinachoongelewa mnakielewa? Na they are doing concioutization cio harakati. What I discovered ni kuwa makongamano ya kijinga yasiyo na impact positive kwa mtanzania hamuyahoji ila yakikata kwenye mfupa mnarukaruka
Ni Muhoozi au Muhozi?jina sahihi Muhozi Kainerugaba sio kenerugaba
Mtaje kwa cheo chake kwanza ,sasa kama ni kweli anafanya hivyo kwa maslahi ya nani?
Manufaa ya kuamsha waliolalasawa,sasa anaifadhili kwa manufaa gani tena??
NANI ANAMFADHIRI CYPRIANI MUSIBA??Kuna hii taasisi inajiita change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.
Ningependa kujua hii taasisi nani anaifadhili maana inaonekana kuendesha makongamano na matamasha ya kiuanaharakati kila mara ila hawana biashara yoyote ya kuwaingizia kipato.
Swali langu, je nani anaifadhili hii taasisi?
Manufaa ya kuamsha waliolala
Mlipobana vyombo vya habari na Bunge live ili kutufanya tusiwasiliane? Mkazima Bunge, mkafungia magazine, mkàibana mitandao, TV na radio zote mnataka zitangaze mambo ya kusifia
linatamkwa tofauti na linavyoandikwa so watu wanaandika linavyotamkwa Muhozi Kainerugaba matamshi Muhoozi mjomba wake chautundu havijawaNi Muhoozi au Muhozi?
kwa maslahi ya taifasawa,sasa anaifadhili kwa manufaa gani tena??
Concioutization ndio nini wewe! Kwani unafikiri watanzania hawako concious. Kwa nini unafikiri u al shabaab umeshindwa kuweka mzizi hapa au itikadi za kupelekea taifa kuparanganyika. Wanachojaribu hawa ma mulato ni kuingiza itakadi za kugawa watu ili wanyonyaji na fisadi warejee jukwaani kutamba. Wanataka demokrasia ya kiliberali ili tubakie kubishana kuhusu ushoga na haki za binadamu huku mabeberu wakitufanyia dhuluma kuhusu uchumi wetu na sisi kuendelea kubaki maskini.Swala cio saport kinachoongelewa mnakielewa? Na they are doing concioutization cio harakati. What I discovered ni kuwa makongamano ya kijinga yasiyo na impact positive kwa mtanzania hamuyahoji ila yakikata kwenye mfupa mnarukaruka
mkuu huyu yupo Amerika? huyu si mtoto wa President Museveni?Mtafute umuulize yupo marekani huko
Kwaio unataka wakuonyeshe kuwa wanayo biashara hii na hii. Wewe ni nani???? Rudi shule kasake ELIMUKuna hii taasisi inajiita change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.
Ningependa kujua hii taasisi nani anaifadhili maana inaonekana kuendesha makongamano na matamasha ya kiuanaharakati kila mara ila hawana biashara yoyote ya kuwaingizia kipato.
Swali langu, je nani anaifadhili hii taasisi?
kwa maslahi ya taifa
Itakuwa wananchi kama vile timu yetu pendwa.Kuna hii taasisi inajiita change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.