Nani anafaa kuwa Raisi wa Tanzania 20152020

Nani anafaa kuwa Raisi wa Tanzania 20152020

Bongo.Com

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
52
Reaction score
20
Napata wakati mgumu sana kila siku ninaposoma comment za watu,,,,,,,kazi ni kupondea tu...mara Lowassa fisadi,,,, hatumtaki,,,,,.. Tumebaki kujadili mabaya ya mtu mmoja na kusahau kuwa sas hivi ni muda muafaka wa kujadili ni nani anayefaa kuwa kiongozi shujaa na mwadilifu atakayeliendesha hili gari asitudondoshe na kutuumiza bila kujali kabila,,rangi,,jinsia,, wala chama.

Ndugu watanzania huu c muda wa kumjadili mtu mmoja hali ya kuwa october ni kesho kutwa.

➡Hivyo wew kama mtanzania unaona ni nani anafaa kuwa Raisi wa Tanzania 2015-2020....
➡ Ni kwa sababu gani unaona fulani anafaa kuwa raisi.

Naomba kuwasilisha mada tuijadili kwa manufaa ya nchi yetu
 
Ukiangalia wagombea wrote mm naona mwigulu nchemba amebeba ajenda ya watanzania kwa wana ccm
Kwa cc wapinzani ngoja tuone jembe tulinganishe
 
Back
Top Bottom