stujadiliane
Member
- Jun 2, 2017
- 66
- 84
Africa mashariki ni jumuia ambayo inapanuka kwa kasi kati ukandaa huu wa Africa. Nakumbuka jumuia ilianza na nchi Tatu Tanzania .Uganda na Kenya.
Lakini kwasasa jumia ya Africa mashariki imejitanua kwa kujumulisha nchi za Rwanda .sudani.na Burundi hivyo kuifanya jumuia kufikisha nchi Sita. naamini wazo la kuwa na sarafu moja na Rais mmoja linatakiwa kupewa kipaumbele ili kuifanya Africa mashariki kuwa na nguvu
Swali langu ni yupi anafaa kuwa Rais wakwanza wa jumuia ya Africa mashariki kati ya Nkurunziza .kagame. museveni.Magufuli.saruvakili na kinyatta?
je unadhani nikigezo gani muhimu kinafaa kutumika kumpata Rais wa kwanza wa Jumuia ya Africa Mashariki.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa mashariki.Mungu ibariki Afrika