Nani anafaa kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020?

huyu team kiba100 anafaa sana kwa upande wa ccm ni babu mwenye kupendwa na wana lumumba
 
Hili halituhusu hapa bali kuna vikao ndani ya chama ndio watakuja na mtu muafaka na kwa wakati muafaka.
 
Emotional response. A much deeper analysis of my statement, would have helped to grasp what was really meant
Acha upuuzi, your tactics are not new, they have been used in the past, that let so n so be in parliament despite facts that parliament of Tz is of no use, it's a dysfunctional institution n to expect something different from what we have currently seems to me as insanity or propaganda.

FYI, Lissu atagombea uraisi wa Tz 2020, ashinde asishinde, aibiwe asiibiwe, tutakuwa tumepata fursa ya kujua mind ya wabongo, if they are projustice or otherwise.
 
Mgombea urais wa chadema atapatika baada ya ccm kuengeua mngombea urais kwenye kura za maoni ccm.
 
Tume huru sio ya jina ila TUME IKIWA HURU KIUTENDAJI ..... Hata hii NEC ikiwa huru hutaona wapinzani wakilalamika

Hivi ushawahi sikia wapinzani wanalalamika wameibiwa kura dodoma??? Embu kuwa serious tume huru ingekuwepo magufuli asingekaa aione ikulu huo ni ukweli ambao hata polepole aliusema kabla hajasaliti mabadiliko ya katiba!!
 
Hatuwezi kuwa na rais kilema. Akifia mjengoni itakuweje?

Mwache aendelee na maumivu yake.
Duh ina maana huyo magufuli wenu keshapona tatizo la moyo?? Usishangae ikamtoa duniani ikamuacha so called mlemavu

Nachoweza kusema mtafurahia kumdhuru lisu ila atasimama tena na kuwa imara kma zamani na wote mliofanya huo ushenzi mtatangulia kabla yake na kma huyo mzee kipara alihusika kma Mungu anaishi basi ataondoka yye

Wapi kombani na asha bakari matusi kwa mgonjwa lowassa ila wakatangulia wao waliokuwa wazima wa afya
 
Mbowe ndio anagombea urais 2020. andika mahali kwa ukumbusho
Faded Waberoya at his best !!! Kutoka great thinker mpka kuwa mtu wa propaganda!! kweli bora ufilisike mali ila sio akili

Naanza kuelewa kwanini suleiman aliomba hekima sio utajiri!!!
 
Kati ya hao wawili uliowapendekeza, wa kwanza anaitwa Mr Ziro, wa Pili ni Kichaa! Endelea kuangaliaangalia wengine.
 
Chadema wasomeshe vijana mahiri wajipenyeze serikalini especially IT wizards kazi nyepesiiiiiii
 
hamna tofauti na kuku,hiyo mikutano mkipewa cha maana hakuna,mambo ya msingi ya kuzungumza hamna na mnalilia mikutano,tunawaona mitandaoni na hoja zengu za kudandia dandia ni mara mia mmepigwa ban
Ni kweli hoja Hamna ndani ya chadema,bali hilo lichacha fikra ndilo lenye hoja,tena ni za matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…