Ni vema ugombee wewe uliyeandika maana unataka undani,sasa unapaswa kujiunga na chadema ili uwe na sifa za kufanya hivyo.Na kama hutaki kujiunga nao basi tabia yako itakuwa sawa na mtu anayechunguza jirani yake amekula chakula gani,wakati huo hana nia ya kumsaidia chakula,bali ni kumcheka tu.