Chama kitaonyesha umakini kaburini?Mikutano ya hadhara inafanyikia jehanamu,sasa wewe unadhani huo umakini utokee tumboni?Hata kukiwa sijui hiyo mnayoita tume huru Chadema hampati kitu,kwani tume huru kitu gani bana,huko Kenya kuna tume huru lakini amechaguliwa Uhuru ,wapinzani bado wanadai wameonewa,tume huru bila chama kuonyesha umakini inakuwa ni bure,Chadema hakina ushawishi wowote hayo ya tume huru ni kutafuta tu sababu.Wacha tume huru ije halafu tuone mtasema nini
hamna tofauti na kuku,hiyo mikutano mkipewa cha maana hakuna,mambo ya msingi ya kuzungumza hamna na mnalilia mikutano,tunawaona mitandaoni na hoja zengu za kudandia dandia ni mara mia mmepigwa banChama kitaonyesha umakini kaburini?Mikutano ya hadhara inafanyikia jehanamu,sasa wewe unadhani huo umakini utokee tumboni?
Kuwa na kumbukumbu nzuri,huyo ni lini sliwahi kuwa kiongozi wa hilo lichacha fikra.ccm pekee ndiyo yenye hazina ya viongozi,huko myaokoteza sana hadi mje kuwaza hadi lema anafaa,mwadhani kuwa rais ni mchezo kama kutoa matamshi mlivozoea,msipotengezeza viongoz wa leo na kesho kwanza upinzani wasahau kabisa ajenda ya urais.
hata kama,ukipanga viongoz makini waweza pata hata mia wazuri toka ccm,leta orodha yako wewe hapa kama utapata hata watatu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kuwa na kumbukumbu nzuri,huyo ni lini sliwahi kuwa kiongozi wa hilo lichacha fikra.
Uko vzr oleLOWASSA ALIWASALITI WENZAKE.
Na Thadei Ole Mushi.
Maana halisi ya chama cha siasa ni kikundi cha watu wenye nia moja na Lengo moja la kushika madaraka ya nchi.
Hii maana imekuwapo karne na karne na ndio msingi na lengo kuu la kuundwa kwa vyama vya siasa.
Hakuna chama cha Siasa duniani ambacho kiliundwa na hakitambui lengo hili kama lengo la msingi
LOWASSA HAFAI TENA KUWA MGOMBEA URAIS KUPITIA UPINZANI.
Huu ni ukweli ulio uchi kuwa kwa kitendo cha Lowassa kujitokeza hadharani na kusifia serikali ya awamu ya Tano moja kwa moja inamvua sifa ya kupeperusha bendera ya Chadema kwenye uchaguzi mkuu
Kitendo alichokifanya hakina Tofauti na wabunge au madiwani walioamua kujivua nafasi zao na kujiunga ccm kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli.
Lowassa amesema kuwa Rais kafanya mazuri sana katika uongozi wake moja kwa moja kaunga Mkono juhudi za Rais Magufuli sasa huyu unamtofautishaje na Dr Molel? Au kina Mtulia?
Lowassa atapata wapi tena ujasiri wa Kusimama jukwaani na kusema achaguliwe huku yote yaliyofanywa amekubaliana nayo? Litakuwa ni kosa la Kiufundi kweli kama chadema itamchagua tena Lowassa kuwa mgombea Urais 2020.
Huu ni usaliti katika dhana ya maana ya chama cha Siasa kama nilivyoielezea hapo mwanzo.
NINI KINAWEZA KUFANYIKA.
Kwa sasa Chadema inatakiwa ianze kuoiga mahesabu mapya ya nani anauzika kwa wananchi. Kwa upande wao wafikirie majina haya mawili.
1. Fredrick Sumaye.
2. Tundu lisu.
SUMAYE.
Huyu anafaa kwa sifa moja tu kubwa kwamba aliwahi kushika nafasi kubwa ya kiuongoz nchini lakini hakuwahi kuwa mwanasiasa mkubwa.
Kuna tofauti kati ya kuwa mwanasiasa mkubwa na Kiongozi mkubwa. Hii ina maana kuwa Sumaye alidondokewa na bahati ya kupitishwa kuwa waziri mkuu na sio kwamba alikuwa na ushawishi kwa jamii kuipata nafasi hiyo aliyodumu nayo kwa miaka 10.
HASARA YA SUMAYE.
Sumaye kama alivyo Lowassa ni mtu mwenye makando kando mengi. Kama ilivyo kwa viongozi wengi wamedhulumu sana taifa hili kwa kujilimbikizia Mali.
Sumaye naye amekuwa akitajwa tajwa kama ataanza kujiandaa kwa ajili ya kushika form ya urais basi CCM wanajua pa kugusa ili atulie. Na wakipagusa sana anaweza akahamia kabisa CCM kulinda asife maskini. Huu ndio ukweli wenyewe......
Hawa kina Lowassa wanalinda tu mali zao kwa sasa hawana ubavu tena wa kuzungumza lugha ya kuiondoa ccm madarakan.
LISU.
Huyu pamoja na kuwa ni msomi mzuri, ni mwanaharakati na ni mpinzani haswa haswa. Kwa sifa hizo anatosha sana kupeperusha bendera za Chadema Kwa sasa.
Huyu hakuwahi kushika nafasi kubwa za kiuongozi ila ni mwanasiasa mkubwa sana kwenye ukanda huu wa Africa Mashariki.. angelikuwa CCM huyu ni dhahiri angeliteuliwa kushika nafasi kubwa kabisa za Kiuongozi.
Narudia kama tunataka kuona kampeni zenye mvuto 2020 Lisu ndio chaguo pekee la Chadema. Wakimsimamisha huyu atatusumbua sana CCM.
HASARA YA LISU.
Kipingamizi kikubwa cha Lisu kwa sasa ni Afya yake. Lisu anatakiwa kwa sasa apiganie zaidi Afya yake kuliko kitu kingine kile.
Kipingamizi cha pili cha lisu hana agenda ya msingi ya Kiuchumi ya kumpeleka Ikulu zaidi ya kuwa mkosoaji mkubwa. Lisu anapaswa sasa kuanza kuonyesha Plan B zake katika maswala ya kitaifa yaani kama jambo limefeli yeye kama yeye angelifanyaje.
Naamini na ndivyo ilivyo kiongozi mzuri ni yule mwenye maono yake juu ya mambo flan yaani mawazo yake binafsi na sio ya kuandikiwa (Ilani) na ndio maana hata Rais wetu kuna saa anaweka ilani Pembeni na kunyoosha kwa namna anavyoamini yeye.
Lisu anatakiwa sasa atuonyeshe nje ya Ukosoaji wake nini plan na Dira yake kwa taifa hili.
Ole Mushi
0712702602.
Kama afya ingekuwa kipingamizi cha mtu kuwa kiongozi kama mtoa uzi unavyotaka tuamini nusu ya viongozi wa nchi hii wasingekuwa viongozi kwakuwa wanaumwaLOWASSA ALIWASALITI WENZAKE.

MboweNani mwingine zaidi ya Lissu?
...kumbuka anamtaji wa Million 6.5 na kwa maisha haya magumu atapata zingine 4.5 za nyongez nakufika 11 Million.
binafsi sio mwanachadema, lakini ukweli ni kwamba mgombea wa 2020 Lowasa akiendelea kuwepo chadema itawasumbua sana, kwasababu yeye atataka na hapohapo haaminiki tena na wananchi. namwombea Mungu amponye lakini kwa kumwangalia tu pia naona kama vile hataweza kuongoza nchi tena kama alivyokuwa zamani. nafikiri Mungu anatakiwa kufanya muujiza kwa chadema atokee mtu anayeweza kuaminiwa tena ila walioko sasaivi uongozini hakika simuoni hata mmoja. labda nyalandu kama watampa nafasi.LOWASSA ALIWASALITI WENZAKE.
Na Thadei Ole Mushi.
M