Nani anafaa kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020?

Wamsimamishe tu Lissu mana ccm wenyewe mameamua kumpa kiki kwa kumdhuru...sa hv africa nzima inamuona jamaa kama strong politician na very powerfull.
 
Lowassa ana mtaji wa kura million 6 itapendeza akipewa fursa tena
 
Magu ulitegemea ficem kumkubali wakati hajawahi kuwa hata katibukata wa kijiji.
LISSU yupo juu zaidi ya magu[emoji196] mara1000 usimfananishe lissu na baJeska [emoji196]
 
Edward Lowassa is the past. Umri ulishamtupa mkono. 2020 anatakiwa asimamishwe mgombea anayetoka upinzani ambaye ana historia ya kupigania haki za watanzania walio wengi. Ukiniuliza nitasema TL ni size ya mzee wa Push ups
 
UMEJITAHIDI HADI KUWEKA NAMBA YA SIMU LAKINI JAMAA BADO HAWAKUFIKIRII NA UTEUZI NDIO HUO USHAISHA
 
Hatuwezi kuwa na rais kilema. Akifia mjengoni itakuweje?

Mwache aendelee na maumivu yake.
 
kwa 2020 bado hakuna mipango, labda 2025.
 
Kuna tetesi watazira kushiriki huo uchaguzi.
 

KWANI KUNA UCHAGUZI GANI 2020, NA NANI WATASHIRIKI???!!!

GANI
 

Mbowe ndio anagombea urais 2020. andika mahali kwa ukumbusho
 
Ni vema ugombee wewe uliyeandika maana unataka undani,sasa unapaswa kujiunga na chadema ili uwe na sifa za kufanya hivyo.Na kama hutaki kujiunga nao basi tabia yako itakuwa sawa na mtu anayechunguza jirani yake amekula chakula gani,wakati huo hana nia ya kumsaidia chakula,bali ni kumcheka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…