Hili swali nimejiuliza siku nyingi sana ingawa soln yake ninayo kuna jamaa yangu jana mchana alikuwa amevaa kofia nikamuuliza vipi kunani

umevaa kofia leo akadai ntakwambia baada ya watu kupungua akanionyesha sehemu yakati kuna mtu kama amempitishia kiwembe alafu kimeweka

alama ya l kakwangua kabisa nikamwambia niniakadai alikuwa usingizini akaota xgfirend wake wakiwa sehemu wanakula wakati wakati wanaondoka

akaanza kumwambia aleo ulalai kwa mkeo unalala kwangu akamwambia m nimeoa siweziz kwanza hapa kula tu watu wakiniona shida nimekuheshimu

yule mwanamke akamjibu utaniona..akapanda gari akaenda hme alipofika hme akamkuta mkewe anasali mara ndoto ikaisha akashtuka ..asbh anaamka

kwenda kazizni mama ameshatayarisha chai na mandondo he akamuuliza kulikoni mbona una kipara ...nimemshauri aende kuombewa kwa msaada zaidi

leo nauliza je na wewe ushapewa kipara na ninani anawapa vipara wenzao usiku jamani??