F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jan 21, 2014 #2 So wewe unataka iandikwe mwanamme ni nguzo ya familia? Hukubaliani hapo? Huo ndio ukeli ukitaka usitakeπππ
So wewe unataka iandikwe mwanamme ni nguzo ya familia? Hukubaliani hapo? Huo ndio ukeli ukitaka usitakeπππ
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Jan 21, 2014 #3 Na mwanaume atakua nani?
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jan 21, 2014 #4 Deshmo said: Na mwanaume atakua nani? Click to expand... Msingi. Kwani nguzo bila msingi itasimamaje?
Deshmo said: Na mwanaume atakua nani? Click to expand... Msingi. Kwani nguzo bila msingi itasimamaje?
gateway JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 467 Reaction score 123 Jan 21, 2014 #5 farkhina said: So wewe unataka iandikwe mwanamme ni nguzo ya familia? Hukubaliani hapo? Huo ndio ukeli ukitaka usitakeπππ Click to expand... bora ingeandikwa mwanamke ni nguzo ya kufarakanisha
farkhina said: So wewe unataka iandikwe mwanamme ni nguzo ya familia? Hukubaliani hapo? Huo ndio ukeli ukitaka usitakeπππ Click to expand... bora ingeandikwa mwanamke ni nguzo ya kufarakanisha