nani ana kumbuka vizuri huu wimbo

nani ana kumbuka vizuri huu wimbo

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
Moja ya nyimbo ziliwahi kui hit sana miaka ya nyuma !! atae nitajia wasanii walio imba anapata 1 Like


waptrick
 
Moja ya Nyimbo ziliwahi Kui hit sana miaka Ya Nyuma !! atae nitajia wasanii walio imba anapata 1 Like


waptrick

Mupe Mupe Mupe Raha kama taa kaa ziko sehemu za kumfaaa.
Noorah, marehemu Complex, suma lee na mzungu flani ivi
 
Ngoma inaitwa Taifa la bongo...yumo Sumalee,Noorah,Marehemu Complex na Mzungu Kichaa.
 
Mika mwamba

206084_10151044135438900_241120202_n.jpg


Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom