fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Ukiangalia mafanikio ya Kikwete na ya Mkapa kuhusu uchumiunaangalia chini kilindini na kasha juu kileleni au mbinguni. Serikali ya JKimefeli simple, imefeli kabisa kama ni sekondari imepata division zero, wakatiserikali ya Mzee Mkapa ilipata Division ONE, huenda sio pointi 7 kwa olevellakini ni ONE ya nguvu;
SUMAYE waziri mkuu mstaafu ikiwezekana ndo achukue mikobabased on history ainue uchumi kutoka mfumko wa bei 19.2% hadi 4% kamailivyokuwa wakati mkapa anasaliti nchi na kumpa mkataliwa wa Nyerere nchi,SUMAYE ndo anajua mkapa na yeye walifanya nini, tusifanye chuki na wivu tu,vile mkapa hawezi kurudi ni bora sasa PM wake achukue kazi hiyo.
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI NA SIFA ZAKE MPENI, mtukanyongwa bila kulia hata kufumba macho basi semeni jamaa alikuwa makakamavuhata kama ndo kisha nyungwa na kufa, usilazimishe eti alikuwa mwoga hapana,SUMAYE SASA OKOA TAIFA. Kupitia chama gani hiyo sio hoja.