Mimi mrdash1 nitashirikiana na wana JF woteHapa JF na kwingineko kuna watu wanaamini kwamba JK nchi imemshinda. Tuambiane basi kama leo JK akiamua kubwaga manyanga tunataka nani achukue kijiti kutoka kwa JK. Na tunataka huyo mtu ashirikiane na kina nani kuendesha nchi? Kulaumu bila kutoa suluhisho ni UZANDIKI!!
Nchi iwekwe chini ya UN kwa mkataba maalum wa uangalizi kama inawezekana kuunda utaratibu wa namna hii, halafu kila kipindi cha miaka kadhaa anachaguliwa UN Commissioner atakayeiendesha nchi.
Mkataba huo upige marufuku Mtanzania yeyote kuteuliwa kuwa Commissioner.
jamani nipeni mimi,Lizzy,na malaria sugu