''nani amfunge paka kengele??

REAL ACTIVIST

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
39
Reaction score
5
Hili ndilo swali kubwa ambalo vijana wengi(LEGENDERIES) ambao ni wanafunzi wahanga wa fracas zilizotokea mwaka jana udom wamekuwa wakiulizana.Nani afuatilie boom na je ana uwezo wa kuonana na huyu Mr.Kikwazo?Ukweli kuhusu maisha yetu saizi tunao wenyewe.
 
Asante kwa kusahihisha, alafu nafikiri LEGENDERIES ingetakiwa iandikwe LEGENDARIES. Heshima mbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…