Nani amewahi kutumia nguvu ya Chi?

Nani amewahi kutumia nguvu ya Chi?

krystiano7

Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
94
Reaction score
132
Habarini wanajamvi,

Nani amewah kutumia hii nguvu ya CHI, hii ni nguvu iliyopo mwilini kwetu, wachina wanaitumia sana kujitibu na mambo mengine, mliongalia movie ya Tai Chi uliyoigizwa na Jet Li mnaweza mkanielewa.
 
Kwa hiyo kitu cha tai chi kikakufanya uamini chi...
Usije tazama the house of dragons ukaamini kuna madragon.
Any way nishasikia sana hii nguvu. Sema sijapata kuona au kuitumia. Kitu pekee ambacho nadhani kidogo nina experience nacho ni meditation na yoga katoka kujitibu
 
Habarini wanajamvi,

Nani amewah kutumia hii nguvu ya CHI, hii ni nguvu iliyopo mwilini kwetu, wachina wanaitumia sana kujitibu na mambo mengine, mliongalia movie ya Tai Chi uliyoigizwa na Jet Li mnaweza mkanielewa.
😃😃😃
 
Tai chi wuan yang so....zamani tukitoka kuangalia movie za Bruce Lee tulikua tunajiona kama wao, jichunge kijana
 
Back
Top Bottom