mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 331
- 708
Hakikisha umejaza profile yako vizuri, Referees waku recommend vizuri, Cha mwisho weka cheti cha lugha za kimataifa tofaut na kingereza na kiswahili.
Okay kumbe kuna mambo ya connection.
Okay kumbe kuna mambo ya connection.
Issue ikishakuwa Na Connection basi mimi ina ikata kabisa.Okay kumbe kuna mambo ya connection.
Sina uhakika, nitumie email yako nikutumie format ya cv wanazopendelea.Okay kumbe kuna mambo ya connection.
Nisaidie piaSina uhakika, nitumie email yako nikutumie format ya cv wanazopendeleanis
Mimi pia bcefighttz@gmail.comSina uhakika, nitumie email yako nikutumie format ya cv wanazopendelea.
Nitashukuru sana kwa support yako mkuu.Sina uhakika, nitumie email yako nikutumie format ya cv wanazopendelea.
Nitakomaa mkuu.Issue ikishakuwa Na Connection basi mimi ina ikata kabisa.
Ila mkuu wewe komaa tu
Weka hiyo format hapa tuone wote ..usitume kwa yeyote yule.Nitashare kila mmoja mmoja, nipeni muda niedit details zangu,
Lugha English ni common kila mtu anajua kwa sasa tafuta rugha hata mbili za ziada mfano kifaransa na nyingnezo itakusaidiaWakuu nataka kupata uzoefu kuhusu kazi za United Nations Volunteers.
Mimi nina uhakika nina sifa zote zinazohitajika kupata nafasi ya kufanya na UNV.
Nimejiandikisha kwenye mtandao wao wa vmam.unv.org toka mwaka 2015 lakini sijawai kupata notification yoyote au kuitwa kwa ajili ya kufanya kazi na UNV.
Profile yangu mimi haina gap yani sehemu zote muhimu nimejaza vizuri na nimekuwa nina update taarifa zangu kila inapotokea change yoyote kwenye career yangu.
Mliofanikiwa kupata kazi UNV naomba mnisaidie technicalities, ninakwama wapi?
Ndoto yangu mimi ni kufanya kazi na agency za UN na nnaona nikianzia UNV itanisaidia sana.