Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,439
- 3,952
Anapokea mtu mbaya snaamkuu nisaidie kuipiga hio number nani anapokea???
mkuu nisaidie kuipiga hio number nani anapokea???
.... hiyo namba haipo; fake number. Should be 10 digits max.huyu mwenye hii number 07802091904 ni nani?? π‘π‘π‘π‘π‘
Uko sahihi! La muhimu sheria za nchi na service providers including Vodacom walinde privacy za watu na sio kudukuadukua watu ovyo na ku-leak mawasiliano yao.Call forwarding kitu muhimu sana hasa kwa wale wenye simu nyingi, namba nyingi au yeyote ambaye yuko kwenye hali ya kutakiwa kutokosa mawasiliano fulani.
Mfano mimi nimeforward kwa namba zangu mwenyewe, kuna muda namba fulani huwa inakuwa mbali kutokana na sababu maalumu hivyo kama kuna call au sms basi inakuja kwenye namba nyingine ambayo iko karibu, yani ni vile tu mtu utakavyoseti.
Hiyo unaunganisheje mkuu?Call forwarding kitu muhimu sana hasa kwa wale wenye simu nyingi, namba nyingi au yeyote ambaye yuko kwenye hali ya kutakiwa kutokosa mawasiliano fulani.
Mfano mimi nimeforward kwa namba zangu mwenyewe, kuna muda namba fulani huwa inakuwa mbali kutokana na sababu maalumu hivyo kama kuna call au sms basi inakuja kwenye namba nyingine ambayo iko karibu, yani ni vile tu mtu utakavyoseti.
mkuu naomba nielekeze namna ya kuona na sms piaUko sahihi! La muhimu sheria za nchi na service providers including Vodacom walinde privacy za watu na sio kudukuadukua watu ovyo na ku-leak mawasiliano yao.
Ila unaweza uka seti na huku namba yako imesetiwa kimyakimya iwe inarekodiwa sasa unafanyaje au kipi boraCall forwarding kitu muhimu sana hasa kwa wale wenye simu nyingi, namba nyingi au yeyote ambaye yuko kwenye hali ya kutakiwa kutokosa mawasiliano fulani.