my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,402 May 14, 2019 #1 Katika hii nyimbo mpya inaitwa i don't care ya Ed Sheeran na Justin Bieber nani ameimba vizuri kumshinda mwenzie. Mimi naona Ed ameimba vizuri sana. Kwanza justin tokea ameoa hata kuimba amesahau 🤓 je wewe unaonaje?
Katika hii nyimbo mpya inaitwa i don't care ya Ed Sheeran na Justin Bieber nani ameimba vizuri kumshinda mwenzie. Mimi naona Ed ameimba vizuri sana. Kwanza justin tokea ameoa hata kuimba amesahau 🤓 je wewe unaonaje?