Nawakubali Wakurya sana hawana double standards . Wako very straightNimefanya kazi na watu wanaotokea Mara wengi wao kwa asili wana wivu sana na ni wafitini mno.
Unazungumzia wahaya wakurya hawapo hivyo.Nimefanya kazi na watu wanaotokea Mara wengi wao kwa asili wana wivu sana na ni wafitini mno.
Maswi na Werema kwao ni Tarime na Mkono ni Butiama na sio Musoma vijijini.Wewe ungesema watu wa Musoma vijijini hawaelewani. Maana hao wote kwao ni Musoma Vijijini.
Muhongo, Maswi, Werema na Mkono wote ni wa Musoma vijijini na mbunge wao alikua Mkono kabla hawajaligawanya jimbo hilo.
Watu wa Serengeti huna haja ya kuwalaum maana serikali mdio haikufanya mgawanyo sahihi wa rasilimali, Mbuga iko Serengeti ila makao makuu yakawa Arusha.
Watu wa Arusha wakaendelea kwa kutumia mgongo wa watu wa Serengeti.
Wewe unaijua Mara vzuri? Werema na Mkono watokeee Musoma Vijijin? Rudi kaangalie vzur Wilaya za Mkoa wa Mara.Wewe ungesema watu wa Musoma vijijini hawaelewani. Maana hao wote kwao ni Musoma Vijijini.
Muhongo, Maswi, Werema na Mkono wote ni wa Musoma vijijini na mbunge wao alikua Mkono kabla hawajaligawanya jimbo hilo.
Watu wa Serengeti huna haja ya kuwalaum maana serikali mdio haikufanya mgawanyo sahihi wa rasilimali, Mbuga iko Serengeti ila makao makuu yakawa Arusha.
Watu wa Arusha wakaendelea kwa kutumia mgongo wa watu wa Serengeti.
Mkoa wa Mara ni miongoni mwa mikoa ambayo imebahatika kutoa viongozi wengi katika serikali zote za kuanzia muasisi wa taifa hili.Lakini ni kati ya mikoa ambayo maendeleo yake yako nyuma sana, ukifatilia kiundani ni kuwa hata viongozi ambao walipewa nyadhifa mbalimbali wao kwa wao hawaelewani bila kujali itikadi zao za vyama.Kwa mfano Wasira na Jaji Warioba ni watu wasiopikika chungu kimoja japo wote wako ccm. Mwanasheria mkuu aliyestafu Jaji Welema na Mbunge Nimrod Mkono na Pro ,Mhongo ni maadui na uhasama huu unatokana na masilahi,baada ya kuchaguliwa Mhongo kuwa waziri wa nishati kwa kushirikiana na Mwanasheria mkuu Jaji Welema walikata mirija ya ulaji ambayo Nimrod mkono alikuwa analipwa kwenye kampuni yake ya uwanasheria kutokana na lile sakata la Dowas.Mkono nae nae akaamua kuwalipua kwa kumpa documents Kafulila na kuwakomalia mbugeni na kusababisha Mhongo,Eriakim Maswe na Welema kupoteza nafasi.Ninachomaanisha hapa ni kuwa viongozi kutoka mkoa wa Mara bila kujali itikadi zao ni watu ambao hawawezi kukakaa meza moja na kuzungumzia matatizo ya Mara kwa sababu wao kwa wao hawapendani.Ni mji ambao hata miundombinu yake ni shida pamoja na kuwa na ziwa victoria lkn maji bado ni shida hasa kwa wakazi wa nje kidogo ya mji, Ukienda makao mkuu ya wilaya ya Serengeti mji wa Mugumu huwezi amini palivyo choka na wakati wako karibu na hifadhi. Wakuu wa kaya nao wameususa kuanzia awamu ya Jk na sasa JPM ndio hana hbr kabisa na mkoa wa Mara.Tupatiwe fursa hata viwanda vilivyokuwepo vifanye kazi pamoja na kuwa na chuo kikuu ,kwani chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere ni jina tu hakuna kinachoendelea.
Usemacho nakuunga mkono kuna tasisi moja ya mkopo watumishi wake ni watu wa uko mara ukikaa nao wanavyopigana madogo wanafitiana mpaka kulogana, unabaki unashangaa hawa si wanatoka mkoa mmoja tatizo nini sasa unabaki unawashangaa tu.Nimefanya kazi na watu wanaotokea Mara wengi wao kwa asili wana wivu sana na ni wafitini mno.
Wakurya wana wivu na majungu sana.Nawakubali Wakurya sana hawana double standards . Wako very straight
Mkuu wanafahamu sana wakurya wana wivu uliopitiliza pia majunguUnazungumzia wahaya wakurya hawapo hivyo.
Hao watu kwa majungu hutawaweza ndo wanaoongoza kuuana kwa wivuUsemacho nakuunga mkono kuna tasisi moja ya mkopo watumishi wake ni watu wa uko mara ukikaa nao wanavyopigana madogo wanafitiana mpaka kulogana, unabaki unashangaa hawa si wanatoka mkoa mmoja tatizo nini sasa unabaki unawashangaa tu.
Werema nilijua kwao ni Wegero/Kiagata huko msoma vijijini maana kuna mtu mmoja anaewafaham vizuri aliwahi kuniambia hivyo.Maswi na Werema kwao ni Tarime na Mkono ni Butiama na sio Musoma vijijini.