Nani aliyeimba wimbo wa 'nilonge nisilonge...longaaa'

Jmujun

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
965
525
Jaman wakuu kwa jamvi hili naleta uzi hata kama hauna maana yoyote kwako, lakn ningependa kumfahamu msanii aliyeuimba wimbo wenye maneno kama title

nilonge nisilonge,... longaaaa.
mpenzi wangu...
 
Wakati huo huo.
Kama masikio yangu yapo sawa, nyimbo ya diamond itwayo Je utanipenda nahisi audio zipo version mbili. ..kwa maana midundo imepishana kidogo sasa naomba kuzipata zote mbili. Asanteni
 
Back
Top Bottom