Nani aliyefanya mauwaji na lete sababu

Nani aliyefanya mauwaji na lete sababu

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
294
Reaction score
219
abf8ede6b22f729635d8ce4a09c7711b.jpg
 
(¬_¬)ノ[emoji112][emoji819][emoji818][emoji736][emoji736]

sent by Samson Cyper
 
Anaweza kuwa namba 4 kwa sababu silaha yake haiko mezani! , pia ata kama sio yeye basi atakuwa anamjua muuaji kwa sababu yuko karibu na mlango wa maiti ambao ata muuaji amepita hapo kwa namna yoyote ile!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo labda tukaripoti polisi wafanye uchunguzi maana mm na ww hatujamuona muuaji kwahyo hatuwezi kuwahisi hao walioketi humo ndani kwan muuaji lazma atakuwa amesepa zake ..

Kutokuwepo kwa vifaa vya kulia mezani sio ushahidi wa kumtuhum mtu aliyekaa kwenye meza ambayo haina vifaa..[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji736]
 
Back
Top Bottom