Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Ok man, kuna tabia za kawaida, Neurotic behavior na Psychotic behavior. Tabia ya kawaida hutafsiriwa na jamii yako. Najua ukweli wangu, najua ukweli wenu. Nahakikisha kwamba tabia yangu inabadikika kulingana na Mazingira, wakati na Na nina deal na nani. So bye bye Mental wards. Sehemu ambayo ningetakiwa ni kosea vigisufigusi zenu nitanyuti halafu baadae peke yangu nitashangaa dunia hii na hiyo na hapo tabasamu huitawala ofisi yangu.
3Sijamaliza kuisoma ila nikitulia nitaisoma vizuri, naamin humo ndani kuna ujumbe mkubwa na mzito sana
Hahahahaaaaaaaa! Hadi wewe dada? Mimi ni nani hata nikupinge!!?3
Ah wap..hakuna kitu..hakina connection ya anachoandika...usipitezs muda
Hahahahaaaaaaaa! Hadi wewe dada? Mimi ni nani hata nikupinge!!?
Sawa.Hahaa ana mental pbm
Comming soonSasa hebu tuambie ni nini husababisha hali kama uloyokuwa nayo hapo kabla kutokea?
Hayo mnayokumbana nayo ni halisi au ni hisia tu zisizo za kweli?
Na vipi msaada wako kwa watu wanaopiitia hali kama uliyokuwa nayo hapo kabla?
Funguka ili jamii isiwe inawanyanyapaa vichaa
Kwa nini si vizuri kufunua ulimwengu wa hisia za vichaa. Kuna kipindi nilikaa naye mmoja ananipa visa vingi anavuoviona, na alipenda kunisimulia kwa sababu nilionesha kumuamini tofauti na watu wengine waliokuwa wakimbeza waziwazi!Mkuu mbona kama umekuja na hali ileile ya ukichaa jf?
Pole sana ila nakutia moyo kwa kuwa uu karibu na kupona.
Kupona kutakuwa ni kuishi kama wanadamu wengine wanayoishi hata kama nyuma ya macho yetu ungali ukiyapitia masaibu [emoji53]
Endelea kutiririka ila uwe makini maana sio vyema kufunua siri za vichaa/ulimwengu wa hisia wa vichaa!
Hujataka tu kutulia😊Nimecheka mbaya maana sijaelewa chochote
Nyuzi ya kwanza nilijua amefanya makusudi...sasa nyuzi hii naona kweli dishi limeyumba kama lote.......hakuna mtu hapo walahOk man, kuna tabia za kawaida, Neurotic behavior na Psychotic behavior. Tabia ya kawaida hutafsiriwa na jamii yako. Najua ukweli wangu, najua ukweli wenu. Nahakikisha kwamba tabia yangu inabadikika kulingana na Mazingira, wakati na Na nina deal na nani. So bye bye Mental wards. Sehemu ambayo ningetakiwa ni kosea vigisufigusi zenu nitanyuti halafu baadae peke yangu nitashangaa dunia hii na hiyo na hapo tabasamu huitawala ofisi yangu.
Tofauti kati ya kudata na utimamu ni ndogo sana....huyu amedata kiaina lakini huwa anajitambua muda mwingineUnaweza kuwa mgonjwa wa ajiri ukajiunga jamii forums uka login na ukapost kabisa ?