Nani alithubutu kuniuliza hili swali?

Itakua, wewe rudia rudia.Ukielewa utanisaidia.Kwani huyu ni me au ke bcoz kuna sehemu ameitwa mama 😀😀
 
Sio lazima kila mtu avute bange u know!
 
Pole NN, I hope you are feeling better after kipondo, and you are ready to come back...hao maadui zako wakae chonjo! Lol
 
Daaah...! Huu uzi sio bure,kuna shida kubwa mahala. Mpaka nimeuogopa nikafikiri labda ni mimi nimebug
 
Unaweza kuwa mgonjwa wa ajiri ukajiunga jamii forums uka login na ukapost kabisa ?
 
Sasa hebu tuambie ni nini husababisha hali kama uloyokuwa nayo hapo kabla kutokea?
Hayo mnayokumbana nayo ni halisi au ni hisia tu zisizo za kweli?
Na vipi msaada wako kwa watu wanaopiitia hali kama uliyokuwa nayo hapo kabla?

Funguka ili jamii isiwe inawanyanyapaa vichaa
 
Afunue siri ya ulimwengu wa vichaa ili tuweze kusaidiana nao na kuelewana. Wenzetu wanafanya utafiti kwa makusudi, sisi tunaogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…