Hizi picha ni za mrembo mwanamitindo kutoka Kenya anayeitwa Ajuma Nasenyama ambaye kwa sasa ndio mwanamitindo wa Kiafrika anyetesa huko majuu.
Siku zote najiuliza swali: pamoja na kwamba black women are naturally more beautful than their caucasian counterparts, la kushangaza ni kwamba walio wengi hawajiamini. Wanajitahidi kutumia mikorogo hatari (skin lightening agents) na kufunga nywele bandia (wig) ili waonekana kama wale wa caucasian race! Nafikiri labda tatizo ni lack of self esteem. Au?
Lakini labda dada zetu wanaweza kutuambia kuna ulazima gani wa kutumia cream za ku-lighten ngozi, wig, hair relaxers, nk?