NGUMU KUMEZA? Sehemu zote mbili zilitegemeana.Mfano ENL angeenda ACT au TADEA nyomi hiyo angeipata kweli? Kaka yangu aliyekimbia Upadri kutokana na kupenda vidosho,alipoondoka mwishoni mwa Julai 2015 nilijua CHADEMA ataivurunga wewe mwenyewe uliona.Lakini kikubwa kilishanenwa na wazee wetu,UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU au pia KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA.Umoja wa UKAWA ndiyo nyota sahihi aliyotembelea EL.Mungu ibariki UKAWA Mungu wabariki Maalimu Seif,Comredi James Mbatia,Marehemu Makaidi na Kamanda Jasiri Mbowe hakika kuvumiliana licha ya mbinu chafu za Watawala mulichakifanya mwaka 2015 Mungu na Watanzania wote wanawa SALUTE.Hiyo ndiyo nyota ya ukweli waliotembelea EL na Maalimu SEIF.Pamoja na ubabaishaji wa Tume za Uchanguzi una habari Rais wa Jamhuri ya Tanzania upande wa Zanzibar ni Edward Lowasa kwa Zanzibar kama asingekuwa JECHA Rais wa sanduku la kura ni Maalimu SEIF,UMOJA NI NGUVU TUSIUDHARAU tunahitaji tume HURU kwa kizazi hiki.