mechard Rwizile
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 1,571
- 873
Zipo hija mbili zinazopingana, hoja moja inasema CHADEMA wamenufaika sana na ujio wa Lowasa kuwa mgombea wake. Na wapo wanaosema kuwa sio kweli ila Lowasa alisafiria nyota ya CHADEMA baada ya kukatwa na CCM. Nini maoni yako?
Majadiliano yawe ya kisayansi na tuachane na ushabiki wa aina yeyote.
Majadiliano yawe ya kisayansi na tuachane na ushabiki wa aina yeyote.