Nani alipiga picha MV Spice?

Nani alipiga picha MV Spice?

maguu

Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
12
Reaction score
36
Nani alipiga picha MV SPICE wakati waokoaji wa kwanza hawakujua meli imezama eneo.
 
Haaaa... ilichakachuliwa
photoshop at work!
 
unamatatizo, jibu ni waliokuwa kwenye helicopta. waliiona asubuhi saa 12.
 
Back
Top Bottom