Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Nakumbuka kwenye ku soundisha nlikua fit balaa nikiwa in my teenage years (below 22), my main challenge ilikua closing the deal ili kupewa mbunye. Tehe
Baadae nika janjaruka bana. Lol
It just comes naturally for a man. Movies na series zinaongeza maujanja.
Mimi automatically nilijikuta najua kusoundisha watoto nikaanza kung'oa watoto wakali wa kitaa kwa sound tamu kweli, sijui hata ilikuaje ila inakuja tu. Nakumbuka nikiwa olevo vijana walikua wanakuja kuazima mistari kwangu wakatongozee,nikawa nawapa tuition kali sana na kuwafundisha jinsi ya kujibu maswali na kuwaandikia yale maswali yanayoulizwa sana na mabinti na majibu yake.
sio siri kutongoza ni mtuhani sana kwa vijana sema siku hizi mambo ya mtandao na simu yamerahisisha sana,unatongoza tu kwa text, hata akikukatalia huoni aibu kama kukataliwa live unafeel vibaya sana.