Poll ya Twaweza ya mwaka jana iliyopokelewa vyema ila ilizua malalamiko kutoka kwa Dr Slaa. Au umesahau? Hebu Google.
Mmeshaliwa, hamna cha kuweka tena. Subirini Novemba mtoane macho.Afadhali fisadi moja lilikuja Ukawa kuliko Mgombea wenu mnayedhani msafi anawanadi mafisadi wengi eti wasafi, Mfano akina Anna Tibaijuka na Chenge, Niaaibu sana,Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ndipo kibanzi kwa jirani,Ccm ni janga usiudanganye umma jamaa yangu,Hayo ni baadhi kunauchafu mwingi hatujauweka hapa, We know a lot!
Unaruhusiwa kwa fikra zako fupi kudhani Twaweza au Synovate ni utafiti uchwara. Hakuna ujeuri hapa bali ukweli.Kinachokupa jeuri ya kuandika hivi ni hizo tafiti uchwara. Ila usisahau goodluck jonathan tafiti zilimpa 70%
The poll conducted by the globally-renowned political risk research and consulting firm, Eurasia Group, Buhari emerged winner.
Philippe de Pontet, Practice head, Africa, of the group said Buhari got 60 percent of the poll and may likely win this week's presidential poll, while Jonathan got 40 percent.
Also, a recent poll conducted by renowned Center for Public Policy Alternatives, showed that Buhari will win the poll as he polled 58 percent as against 32 percent polled by Jonathan.
Buhari Leads Jonathan In Opinion Polls | P.M. NEWS Nigeria
Hayo ni mawazo ya mwandishi na mapenzi yake kwa chama chake ila ajiandae kuona lowassa akiapishwa. Kura kwa lowassa na wabunge wa ukawa.
sina haja ya Google, based on twaweza report ya juzi, ccm wamekua ahead kwa almost the same percentage since 2012, unless kuna report nyingine tofauti (% ya chadema had the highest ya 32% and lowest ya 25%)
Kuwa Na lowassa cdm tegemeeni pigo la mbwa
mbowe kasema walifanya utafiti na kujiridhisha ushindi wa lowasa kabla ya kumchukua. Utafiti huo ulifanywa na nani, na matokeo ya utafiti wenyewe hakuna anayejua mbali ya lowasa na mbowe mwenyewe.Unaruhusiwa kwa fikra zako fupi kudhani Twaweza au Synovate ni utafiti uchwara. Hakuna ujeuri hapa bali ukweli.
Hiyo kampuni ya research iliyompa Goodluck Jonathan 70% ilikuwa haifahamiki kimataifa, kwa maana hiyo hata matokeo yake yalikuwa yanatia mashaka.
Angalia hii sehemu ya article ya matokeo ya makampuni yanayofahamika kimataifa ambayo matokeo ya kura yalishabihiana kwa karibu,
Yaani unasema afadhari fisadi papa mmoja kwenda CHADEMA na kupewa nafasi ya kugombea Urais? Ama kweli upumbavu kwa sasa umekuwa ni werevu nchini!Afadhali fisadi moja lilikuja Ukawa kuliko Mgombea wenu mnayedhani msafi anawanadi mafisadi wengi eti wasafi, Mfano akina Anna Tibaijuka na Chenge, Niaaibu sana,Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ndipo kibanzi kwa jirani,Ccm ni janga usiudanganye umma jamaa yangu,Hayo ni baadhi kunauchafu mwingi hatujauweka hapa, We know a lot!
Ninashukuru kwa kukubali kutokubaliana!
Mmeshaliwa, hamna cha kuweka tena. Subirini Novemba mtoane macho.